Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

SHAMBA+

Habari.....?..
ni taarifa njema kwa wakulima na wauzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo, kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunatoa fursa kwa wakulima na wauzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo kuweza kuwasajili bure kwenye system mpya ambayo itawawezesha wakulima,wauzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo muweze kukutana kwa njia rahisi kupitia application maalum ambayo mtapaswa kujisajiri bure.

kwa sasa tunaanza kuwasajili wale wenye maduka ya uuzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo, ili tuweze kuwaingiza kwenye system yaani application, huduma hii ni bure

karibuni kwa wauzaji pembejeo unaweza kutuma majina yako kamili pamoja na namba yako ili tuweze kujisajili sasa

karibuni sana[emoji1666][emoji1666]

unaweza kuni inbox
 
HABARI wakuu

SHAMBA+ ni mtandao unaotumia App, Whatsapp channel na SMS utakaokutanisha wadau wote wa kilimo ie Wakulima, Bwana shamba, wauzaji pembejeo na mbegu na madawa, na masoko ya bidhaa za kilimo.

Kazi/dhumuni la huu mtandao ni :

(i) Ushauri wa kilimo kutoka kwa agronomist - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia

(ii) Maswali na majibu kati ya mkulima, Agronomist, wauzaji pembejeo - NI BURE kama unatumia WHATSAPP au APP, kama ni SMS utalipia

(iii) Agronomist kuweza kuona maduka ya pembejeo/mbegu, wakulima mbalimbali na Agronomists wenzao wa mikoa mbalimbali na kuweza kuwasiliana na kujitangaza - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu

(iv) Kuona masoko na kuwasiliana na wanunuzi wa mazao - NI BURE ila ni kwa kutumia APP NA WHATSAPP tu
 
shamba+

habari wadau wa kilimo [emoji120][emoji120].....kwa sasa tiyari tushafungua whatsapp channel ya kusubscribe isave hii namba +27634444350 kisha ingia whatsapp na uitumie ujumbe wa neno la shamba+ kwa herufi ndogo hapo moja kwa moja utakuwa umesubscribe....

baadaye wadau wengi wa kilimo wakisha subscribe hii channel itakuwa inasaidia kutoa information kwa mfano mkulima akiingia na kuulizia masuala ya pembejeo au bwana shamba basi moja kwa moja ataweza kupata jibu hapo hapo kupitia bwana shamba aliye hewani kwa mda husika...pia unaweza kufollow page yetu instagram shambaplus_

kwa maelekezo zaidi unaweza kunipigia 0692449416
 
Mawasiliano tafadhali
 
Kwa mkulima yeyote anaweza kunitafuta nimsaidie kutangaza Biashara yake ya kiliko kwenye account yangu ya Twitter ina watu wengi kidogo na Kwa sababu napenda kilimo nitakuwa nawafanyia Bure kabisa
 
Kwa mkulima yeyote anaweza kunitafuta nimsaidie kutangaza Biashara yake ya kiliko kwenye account yangu ya Twitter ina watu wengi kidogo na Kwa sababu napenda kilimo nitakuwa nawafanyia Bure kabisa
Habari. Nina km eka 2 zilizopandwa migomba kwa space(haijubanana) na nawiwa kulima matikikiti katikati yake. Pili, wilaya yangu ya Bukoba inapata mvua X 2 kwa mwaka, Sept - Dec(ila hata sasa zinanyesha) na Mar- June. Je kwa factors hizo naweza kulima nikafanijiwa na kwa muda upi?
 
Kwa mkulima mzoefu je mwaka huu unatushauri tupande tikiti?

Mana hali ya hewa ya safari hii ni changamoto kwa kilimo cha tikiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…