KAPURO JF-Expert Member Joined Feb 12, 2016 Posts 235 Reaction score 152 Mar 15, 2016 #1 Jamani kuna tetesi kuwa Bakheresa huwa ananunua matikiti kwa kilo. Naomba mwenye uhakika na tetesi hizo kama ni ukweli anijuze. Pia vigezo anavyotumia ktk kuchukua mzigo vikoje?
Jamani kuna tetesi kuwa Bakheresa huwa ananunua matikiti kwa kilo. Naomba mwenye uhakika na tetesi hizo kama ni ukweli anijuze. Pia vigezo anavyotumia ktk kuchukua mzigo vikoje?