NostradamusEstrademe JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 3,402 Reaction score 4,532 Nov 2, 2019 #1 Ninapenda sana mbaazi nataka kulima zinapandwa wakati gani?..Na mti wake unadumu kwa muda gani ukiendelea kutoa mbaazi?Naomba waliolima wanifafanulie zaidi
Ninapenda sana mbaazi nataka kulima zinapandwa wakati gani?..Na mti wake unadumu kwa muda gani ukiendelea kutoa mbaazi?Naomba waliolima wanifafanulie zaidi
S Samson Ngomboli JF-Expert Member Joined Oct 30, 2019 Posts 1,598 Reaction score 2,710 Nov 2, 2019 #2 Subiri mkuu wanakuja