dachinemba
Member
- Nov 15, 2020
- 6
- 6
Habar zenu huko mliko,
-Nahitaji kujua namna ya kulima mbaazi yaani upandaji, mavuno kwa kila heka pamoja na changamoto zake.
-kiasi Cha mbegu kinacho hitajika kwa heka moja.
-Muda katika uvunaji wake
-Nahitaji kujua namna ya kulima mbaazi yaani upandaji, mavuno kwa kila heka pamoja na changamoto zake.
-kiasi Cha mbegu kinacho hitajika kwa heka moja.
-Muda katika uvunaji wake
- Mbegu Bora za kisasa na upatikanaji wake, kwa mwenye kujua pia mawasiliano
- je mbali na mahindi, mbaazi unaweza changanya na mazao gani?
- soko lake linalipa?