Habar zenu huko mliko,
-Nahitaji kujua namna ya kulima mbaazi yaani upandaji, mavuno kwa kila heka pamoja na changamoto zake.
-kiasi Cha mbegu kinacho hitajika kwa heka moja.
-Muda katika uvunaji wake
Mbegu Bora za kisasa na upatikanaji wake, kwa mwenye kujua pia mawasiliano
je mbali na mahindi, mbaazi unaweza changanya na mazao gani?
Kwa navyofahamu Mimi mbegu za mbaaz hauhtaj kuhangaika kutafuta za kisasa tumia hizi zinazopatikana kwa wakulima na kiasi kinachohitajika kwenye heka km utachanganya na mahindi ni kilo 3kg. Natumai nimejbu