9000/= kwa kilo veggies, sababu ni scarce huo ndio ukweli, watu mnambishia Chasha lakini ukweli ni mboga ambayo inapatikana kwenye masoko machache na watumiaji siyo wengi. Wabongo wengi hawaijui, afadhali hata mbogo umtajie lettuce, broccoli, leek, parsley n.k lkn siyo
Asparagus.