Kilimo cha mboga mboga Morogoro

Status
Not open for further replies.

Kinumbo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
3,039
Reaction score
5,560
Wakuu nauliza wale wanaolima mboga mboga za majani kule Morogoro wanalima sehemu gani. Yaani ni wilaya ipi na kijiji kipi, maana nimeona mboga nyingi zinatoka huko kuingia mjini Dar es Salaam.

Msaada tafadhali!
 
Mboga nyingi zinalimwa hapahapa mjini Moro kama mchicha, sukumawiki, spinach, tembele, vyote hivyo vinalimwa hapahapa mjini, kama unahitaji eneo la kupanda mchicha na vitu vidogovidogo. 0655212301
 
Mboga nyingi zinalimwa hapahapa mjini Moro kama mchicha,sukumawiki,spinach tembele vyote hivyo vinalimwa hapahapa mjini,kama unahitaji eneo la kupanda mchicha na vitu vidogovidogo.0655212301
Sahihi Yaani Ukianzia Kingolwira, Tungi, Bigwa, Mgolole Kwa Ma~Sister, Kiloka, Unapita Pangawe Jeshini Huko Ni Nyingi Sana Sana
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…