Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 May 29, 2014 #1 naomba kujua kama kilimo cha mboga za majani kwa mwanza zinalipa, as nigependa kuanza hii biashala
CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 May 29, 2014 #2 Mkuu wewe unaishi Mwezini? Wewe mpaka utake kulima mboga umevutiwa na nini? na fanya utafiti mwenyewe hapa wengine wako Dar, Arusha, Mtwara na kazalika ni vigumu kujua biashara ya mboga mwanza.
Mkuu wewe unaishi Mwezini? Wewe mpaka utake kulima mboga umevutiwa na nini? na fanya utafiti mwenyewe hapa wengine wako Dar, Arusha, Mtwara na kazalika ni vigumu kujua biashara ya mboga mwanza.