mutu ya watu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2010
- 213
- 41
Wana JF habarin! polen na majukumu,
kwa kifupi mimi nina wazo la kujiajiri kwenye kilimo cha mboga mboga kwa umwagiliaji maeneo jirani na DSM,
kwa yeyote nahitaji ushauri ni yapi maeneo yanafaa kwa umwagiliaji anijuze mara moja
kila la kheri
mutu mimi sina wazo la wapi hili linaweza kufanyika ila kilichonifanya nicomment ni namna ambavyo ni jana tu nilikuwa naongea na mtu kuhusu wazo la kufanya ujasiriamali wa aina hasa baada ya kujua kwamba kumbe mboga nyingi za mjini hapa zinatoka singida na dodoma. Nitajaribu kufanay kajiutafiti kadogo kuhusu hili then nitashare na wewe ili tuone namna ya kumove forward.
Mandela rd maeneo ya mwananchi au nyuma yake kidogo kama sikosei,pale kulia bondeni huwa naona kuna jamaa wanapiga kazi hizo.
Pia Mwai Kibaki rd mbele kidogo ya Bunju B.
By the way hongera kwa kuwa na wazo la ujasiriamali!
Mutu mimi sina wazo la wapi hili linaweza kufanyika ila kilichonifanya nicomment ni namna ambavyo ni jana tu nilikuwa naongea na mtu kuhusu wazo la kufanya ujasiriamali wa aina hasa baada ya kujua kwamba kumbe mboga nyingi za mjini hapa zinatoka Singida na Dodoma. Nitajaribu kufanay kajiutafiti kadogo kuhusu hili then nitashare na wewe ili tuone namna ya kumove forward.