Kilimo cha mihogo kinaokoa kipewe thamani zaidi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Jirani yangu tumepakana viwanja, aliamua kupanda mihogo kwenye kiwanja chake akivuta nguvu ya kujenga. Akitafuta mbegu inaitwa kikombe.

Juzi alipata mnunuzi aliyetaka Kuip ja kwanza. Alichimbiwa shina moja akaondoka. Alipoonja mihogo na kuridhika alirudi na kununua mihogo yote kwa laki nane.

Jirani alimlipa mkulima 70,000 kulima na kupanda na palizi ilikua 45,000. Jana ananiambia laki tano ananunua matofali.
 
Eneo liwe la kichanga sio idongo wa tifutifu halafu iwe ile kichanga laini
 
Umeanza lini kuwa motivesheno spika?

Afu umesahau leo tunatakiwa tukachome chanjo ya tatu ya uviko...

Afu hebu edit thread yako maana kuna mjukuu wako mmoja anaitwa Flano atanisumbua nimfafanulie
 
Safi kabisa ni sehemu gani ,magunia mangapi alipata ,ulimaji wa muhogo unachukiwa miezi mingapi ,tuonyeshe hiyo mbegu ya kikombe.
 
Duuuh, mihogo kwenye kiwanja imetoa laki 8!! Huku Mbeya mihogo ya hiyo pesa unaweza kujaza hata gari kubwa.
 
Wapi huko mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…