Mkuuu heshima.kwako...kilimo cha .minazi tanzania kina historia ndefu sana .....anzia kuanzishwa research institute ( chambezi na pale mikocheni coke cola rd) zote na mashamba makubwa sana nafco.....wame test sehemu zote tanzania hii na report zipo wamechukua mbegu dunia nzima....sasa miaka hivi karibuni miradi imekufa mbegu bora hakuna mashamba yamekufa imebakia mtu mmj mjj....ajabu minazi yote ukipanfa asili au kipemba .....inakufa baada muda mfupi zao kwanza sijui kuna shida ganii......ila minazi utajiri mkubwa sana......ukiwa minazi 500 tuu....kila miezi 3 unavuna nazi 500 x 30 ni 15000 kila nazi uza 1000 tu shambani....15000000......mara 4 ni 60mil mwaka.........Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall.
..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa.
..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu mbadala ya minazi yetu ya asili ili kuongeza tija ktk kilimo cha minazi.
..fuatilia hapa chini
View: https://www.youtube.com/watch?v=nHjiSlqtajU
cc CHASHA FARMING
Tatizo linaanzia hapa, we all play victim, Badala ya wewe JokaKuu kuitafuta iyo mbegu maana ushajua manufaa yake kiuchumi, Sasa Tanzania(nchin) itatafutaje mbegu.Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu mbadala ya minazi yetu ya asili ili kuongeza tija ktk kilimo cha minazi.
Hiyo buku ndio bei tunanunua sokoni lakini mkuu. Sasa hii institute ifanye research nyingine tujue kwanini inakufa hiyo minazi. Ila wabongo pia tunapenda biashara za chap chap. Mtu kusubiria hiyo minazi ikue aanze kuvuna miaka 5 sijui saba anaona parefu. Wana kazi kubwa ya kuhamaisha pia na kutoa elimu.Mkuuu heshima.kwako...kilimo cha .minazi tanzania kina historia ndefu sana .....anzia kuanzishwa research institute ( chambezi na pale mikocheni coke cola rd) zote na mashamba makubwa sana nafco.....wame test sehemu zote tanzania hii na report zipo wamechukua mbegu dunia nzima....sasa miaka hivi karibuni miradi imekufa mbegu bora hakuna mashamba yamekufa imebakia mtu mmj mjj....ajabu minazi yote ukipanfa asili au kipemba .....inakufa baada muda mfupi zao kwanza sijui kuna shida ganii......ila minazi utajiri mkubwa sana......ukiwa minazi 500 tuu....kila miezi 3 unavuna nazi 500 x 30 ni 15000 kila nazi uza 1000 tu shambani....15000000......mara 4 ni 60mil mwaka.......
Tatizo linaanzia hapa, we all play victim, Badala ya wewe JokaKuu kuitafuta iyo mbegu maana ushajua manufaa yake kiuchumi, Sasa Tanzania(nchin) itatafutaje mbegu.
Yani nchi inatafutaje mbegu
Taasisi ya utafiti nilifika kwao siku moja , tukaacha namba za simu kwamba kuna order wakiimaliza tutapigiwa ili tukanunue miche, mwaka sasa hata missed call yao sijaiona...Taasisi zetu za utafiti wa minazi zinatakiwa kuzalisha mbegu chotara inazaa matunda mengi, kwa muda mfupi, na kuhimili magonjwa.
..Kilichofanyika katika zao la chikichi ambako utafiti umefanyika na kutoka na miche bora ndicho kinachotakiwa kufanyika katika zao la minazi.
NB:
..nimeileta hii habari ili wataalamu,na wananchi wa kawaida, waione na kuhamasika kulingana na nafasi na uwezo wao.