Kilimo cha minazi

Kilimo cha minazi

PARADIGM

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2014
Posts
2,774
Reaction score
1,827
Habarini za siku.

Naomba kujua idadi ya miche ya minazi inayoweza kupandwa kwenye eka moja ya ardhi. Pili nataka nijue aina ya mbegu bora kwa mazingira ya mkoa wa Pwani.
 
Mita 8 hadi 12 urefu na upana sawa. inategemea na eneo lako
 
Back
Top Bottom