Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
[
Miti ya mitiki ni miongoni mwa mbao ambazo zipo expensive kwenye soko la dunia. For 2016 ubao wa kwaida wa mtiki yani 4×4 ×12 unauzwa araund 40,000 tsh. Ila hii miti hutumia muda mrefu kukua yan naongelea zaidi ya miaka 20. Ila kwa teknologia mpya zimekuja aina ya mitiki yani chotara inayoitwa TISSUE CULTURE TEAK. hii inapandwa sana india na inaweza kuvunwa baada ya miaka 13 nakuendelea. Upandaji wa miti ya mitiki unahtaji uvumilivu na utaharamu sana ukilinganisha na miti mingine ila faida yake ni kuwa. Yan mti mzima wa mtiki wa miaka 20 unaweza kuuza zaidi ya 1,000,000.
Afrika nchi inayoongoza kwa soko la mitiki ni india. Na mitiki yao ingawa imeboreshwa inavunwa kuanzia miaka 15. Iyo ya miaka saba ndyo utavuna lakini huwez kucompete kwenye soko la kimataifa.≈
Asante kwa mchango wako ila siku hizi Mbegu za mitiki zimeboreshwa na miti huweza kuvunwa kuanzia miaka saba (7) na kuendelea, hii ni kwa mujibu wa Wakala wa Mbegu za Miti Tanzania (Tanzania Tree Seed Agency - TTSA)
Shamba la miti lina matumizi mengi na si wote watasubiri wavune, kuna watakao yauza, watakao yatumia kama bond za kuchukulia mikopo ktk taasisi za fedha n.kAfrika nchi inayoongoza kwa soko la mitiki ni india. Na mitiki yao ingawa imeboreshwa inavunwa kuanzia miaka 15. Iyo ya miaka saba ndyo utavuna lakini huwez kucompete kwenye soko la kimataifa.
Unaweza panda Mitiki, Mfudufudu - Arbora, Mkesia, Mkorimba, Mkaratusi. Kifupi aina nyingi za miti hustawi maeneo hayoMkuu, nina shamba huko Sikonge mkoani Tabora, je naweza panda mitiki au ni mti gani ya mbao ninayoweza kupanda?
Futi tano (5) mpaka sita (6) zinatosha. Miti inahitaji nafasi ili ikuwe vizuri.Mkuu hicho kilimo nakifanya Mimi sasa ivi lakini kuna utaalamu Gani unachukuwa wa umbali Gani Kati ya shimo na shimo?
OK BT Mimi napanda shimo hadi shimo mita 4 na upana mita 2 BT Leo nimetoka shamba kuna MTU amenishauri huo umbali ni mkubwa nijazie Miche katikatiFuti tano (5) mpaka sita (6) zinatosha. Miti inahitaji nafasi ili ikuwe vizuri.
Usijze sana ikashindwa kupata nafasI ya kukua vizuri. Ipe nafasi nzuriOK BT Mimi napanda shimo hadi shimo mita 4 na upana mita 2 BT Leo nimetoka shamba kuna MTU amenishauri huo umbali ni mkubwa nijazie Miche katikati
Usijze sana ikashindwa kupata nafasI ya kukua vizuri. Ipe nafasi nzuri
Mkuu naomba unisaidie kuhusu elimu ya kilimo cha mwarobaini,nina ekar kama 25kilosa Moro ninafikiria nipande mti wa mwarobainUnaweza kuvuna kuanzia miaka saba (7) na kuendelea, pia sidhani km majani yake yanaweza kulika na mifugo.
Mkuu naona unaotesha miche na lazima Utahitaji viriba. Ni wapi wanapouza viriba kwa jumla hapa Dar?Nimeipanda na pia naotesha mingine nikaipande, naotesha Mitiki na Arborea (Mfudufudu)
Mkuu shimo nalopanda huo mche kina chake ni ngapiUsijze sana ikashindwa kupata nafasI ya kukua vizuri. Ipe nafasi nzuri
wanauza Kariakoo SokoniMkuu naona unaotesha miche na lazima Utahitaji viriba. Ni wapi wanapouza viriba kwa jumla hapa Dar?
kina kinategemea na urefu wa mche wenyewe, ni vizuri nusu au robo tatu ya urefu wa mche uwe umefukiwaMkuu shimo nalopanda huo mche kina chake ni ngapi