Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante kaka!Msubii kada wa chama mheshimiwa Narubongo aje ndo ana info za Mizeituni
Hebu Malila tujuze hili.....nilifika nchi moja mashariki ya kati hili ndio zao lao kuu!
Nimefuatilia sana hili zao hapa Tanganyika, wote wameotesha kama mapambo, ila wenzetu hapo jirani wamelima kwa kumaanisha. Ukianza kulima zao hili inabidi ulime kwa scale kubwa, ni kama ilivyo kwa karanga miti, hapa bongo hazitiliwi maanani kabisa ila zinalipa vizuri. Ukienda Saharani Tanga mission kuna kilimo hiki tangu 1946, Karanga miti a.k.a macadamia humea pia Mby na kwingineko.
Kule nchi za middle east, hasa Israel, kuna kuna mizeituni balaa. Mafuta ya mzeituni ni biashara kubwa sana. pale SUA ktk kitalu cha jamaa miche ipo na inanunuliwa,ila hakuna mashamba ya mfano ya mazao haya mawili.
Mkuu Malila unaweza kunishauri kuhusu kilimo cha mti wa Mvuje?
Hapa sitakuwa na cha kuchangia kwa sababu mti huu sina taarifa za uhakika.
Asante kaka....kuna mtu kaniambia ni alternate nzuri kwa Mtiki
Nimefuatilia sana hili zao hapa Tanganyika, wote wameotesha kama mapambo, ila wenzetu hapo jirani wamelima kwa kumaanisha. Ukianza kulima zao hili inabidi ulime kwa scale kubwa, ni kama ilivyo kwa karanga miti, hapa bongo hazitiliwi maanani kabisa ila zinalipa vizuri. Ukienda Saharani Tanga mission kuna kilimo hiki tangu 1946, Karanga miti a.k.a macadamia humea pia Mby na kwingineko.
Kule nchi za middle east, hasa Israel, kuna kuna mizeituni balaa. Mafuta ya mzeituni ni biashara kubwa sana. pale SUA ktk kitalu cha jamaa miche ipo na inanunuliwa,ila hakuna mashamba ya mfano ya mazao haya mawili.
Ngoja nimpigie mtalaam wangu Lushoto, aweza toa jibu.