Mandison
Senior Member
- Mar 10, 2017
- 191
- 110
Habari wana JF!
Kwa sasa hivi nimeona juhudi mbalimbali zinazochokuliwa kuinua kilimo cha mkonge kwa maelezo kwamba kinalipa kwa kuwa ni zao lenye soko kubwa. Naomba kujua uzoefu wenu katika kilimo hiki kuanzia mikoa ambayo zao hili linastawi zaidi na aina ya udongo.
Pia napenda kujua namna ya kupata mbegu na matunzo yake hadi kuanza kuvuna processing yake kupata nyuzi za katani.
Pia, nitaomba kujua soko lake likoje-nani mnunuzi mkuu, bei kwa kilo.
Asanteni.