Kilimo cha Mpunga Bahi

Kilimo cha Mpunga Bahi

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
111
Habari wadau. Kama kuna mwenye kufahamu inapopatikana skimu ya umwagiliaji huko Bahi ambako kunalimwa mpunga anijuze tafadhali. Natanguliza shukran.
 
Habari wadau. Kama kuna mwenye kufahamu inapopatikana skimu ya umwagiliaji huko Bahi ambako kunalimwa mpunga anijuze tafadhali. Natanguliza shukran.
Kwema mkuu ni pm nikupe walau mwanga pa kuanzia lkn skimu bado haijaanza kazi.
 
Fika Bahi mashamba (Majaluba) ni mengi
unaweza kukodisha kwa pesa au ahadi ya kutoa theluthi ya mpunga uupatapo au mkakubaliana magunia matatu
matatizo ni km ukame. ndege au mifugo kuula mpunga
sasa km umelipa imekula kwako na wengine ahadi ni deni utatafuta hayo magunia kwa sababu ni uzembe uliendekeza kuulinda
 
Back
Top Bottom