Fika Bahi mashamba (Majaluba) ni mengi
unaweza kukodisha kwa pesa au ahadi ya kutoa theluthi ya mpunga uupatapo au mkakubaliana magunia matatu
matatizo ni km ukame. ndege au mifugo kuula mpunga
sasa km umelipa imekula kwako na wengine ahadi ni deni utatafuta hayo magunia kwa sababu ni uzembe uliendekeza kuulinda