chapashoka
Member
- Mar 9, 2017
- 19
- 5
Gharama za kukodi mashamba huko ni kubwa sana mkuu ?Panda basi la mbeya, shuka sehemu inaitwa igawa then panda basi la ubaruku waambie unaenda mbarali rice farm au highland estates. Huko ndipo anapolima masanja mkandamizaji.
Shamba la pili ni kituo baada ya igawa ukiwa katika highway shuka chimala then ulizia shamba la kapunga.
Hata mimi napenda kujua ingawa naona wametokomeaGharama za kukodi shamba maeneo hayo tajwa ni kiasi gani?
Gharama ya kukodi na kulima kama acre moja inaweza kuwa kiasi gani ?Tembelea busokelo district+lufilyo ward+kifunda village
WHY??
1.irrigation scheme exists
2.low highering cost of land
3.low population of active farmers
4.accesbillity
5.high potentiality of extension officer
6.wide spectrum of crop cultivation
Mimi mtaalam wa kilimo hiki nitafuteGharama za kukodi shamba maeneo hayo tajwa ni kiasi gani?
Asanteni sana kwa maelezo mazuri.Mungu awabariki
Hata mimi napenda kujua ila nasikia na kyela ni pazuri kwa kilimo cha mpunga.Hata mimi napenda kujua ingawa naona wametokomea
Ok sawaMimi mtaalam wa kilimo hiki nitafute
Yap kyela it is da best mkuu,labda irrigation scheme shidaHata mimi napenda kujua ila nasikia na kyela ni pazuri kwa kilimo cha mpunga.