Kilimo cha mpunga Mvomero

mnono

Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
37
Reaction score
19
Ndugu wanajanvi, nahitaji kufanya kilimo cha mpunga cha umwagiliaji, naomba mwenye habari za kilimo hicho ikiwa ni pamoja na jinsi ya kupata mashamba, gharama za ukodishaji, gharama za kilimo na soko kama zinapatikana nitashukuru sana.
Aksanteni.
 
Kuna rafiki yangu anaweza kukusaidia kupata taarifa unazozihitaji. Nitakutumia namba zake za simu pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…