Gabi247
Member
- Jun 14, 2017
- 21
- 23
Wakuu poleni na majukumu nina shida moja nahitaji msaada kidogo kuhusu taarifa au mtu yeyote ambae ameshawai kufanya kilimo cha mpunga cha umwagiliaji katika mikoa ya Morogoro na Mbeya
1.Kianzio au mtaji kima cha chini
2.muda mzuri wa kulima
3.mbegu aina gani kutokana na msimu
4.changamoto zake (Common challenges)
ushauri na ni vitu gani vya kuzingatia hasa kwa mtu ambae hajawai kabisa kulima zao hilo no vitu gani lazima awe navyo na awe tayari kukabiliana navyo natamani sana kuingia kwenye zao hilo lakini changamoto niliyo nayo ni kuhusu taarifa sahihi kabla sijaingia ili nijue naanzia wapi ntashkuru vijana wenzangu kama mtanisaidia kwa hilo Nshachoka kutuma CV na barua kila siku bora niingie field Mungu hawezi kutunyima vyote
Sent using Jamii Forums mobile app