Kilimo cha Mpunga

Hujambo mkuu, asante kwa kumjibu vyema! Kwa kuongezea tu super India, nganyaro, mbawa mbili, super Zambia ila kama ndio mkulima unaanza na huna uzoefu wa shamba nashauri MTU alime mbawa mbili! Haina usumbufu sana na inabumilia sana magonjwa

Asante kwa maelezo
sasa mbegu hizi hupatikanaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…