GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
Naitwa goya mnanda ni mkulima wa mpunga nafanya shughul zangu mkoa wa morogoro kilombelo ni mkukima wa kat katika shughul zangu kule shamba nakutana na changamoto mbalimbali aswa matumiz ya dawa hizi za magugu na namna ya kuzitumia mara nyingu tunazitumia dawa kwa utashi wa muuzaji tu na wataalam wa kilimo kwa maeneo husika imekua changamoto kuwapata naomben ushar
Kwanza kujua matumiz ya dawa zile selective na non selective ikiwezekana selectiv zipi ni nzur kwa majana ya mbogamboga na yale punga punga kule tunaita (utajij)
Pili kule kuna mazoea mfano tunamwaga kawaida kutokana shamba kutoifadh maji sasa tukimwaga mbegu nakufukia kwa trekta huwa tunapiga dawa non selective kama roundup kabla mpunga haujaanza kuchomoza je kitaalam ni sahihi?
Mwisho bei ya mazao mwaka huu inedorola sana hii ni matokeo ya vyuma kukaza au ni nn naitaji kujua soko zur la mpunga nina mpunga wa kutosha
Ushaur nichek 0716671919