Si mzoefu sana kwa kuwa nimetoka kulima msimu huu ulio isha na ndiyo mala yangu ya kwanza, nimeishia kurudisha gharama nilizotumia tu. Kama umeamua kuingia karibu kilingeni.Jamani habari za sahizi nduguzangu,
Nimepanga kuingia katika kilimo cha mpunga, kuna rafiki yangu mmoja kanambia kwa kilipo cha mpunga kahama kina lipa hasa maeneo ya Mwendakulima. Sasa swali langu ni kuna mtu mwenywe uzoefu au anayejua zaidi kuhusiana na hayo mawazo. Maana hata huyo rafiki yangu pia hana connection yoyote na sio mjuzi wa maswala hayo kwa sana
Pamoja na gharama zote za kufanya kilimo hicho kwa sisi wageni wa biashara hii au kama napata mtu wakunisahidia mtu wa kushirikiana nae nitashukuru awe anapatikana mwendakulima kahama
Kaka una maanisha nini hapa, samahan naomba ufafanuzieneo la kukodi zuri bila gharama yoyote ila usafiri tu.
Nitamsadia kumepeleka sehemu yenye mbuga nzuri bila gharama za kulipia muda wangu. Yeye atalipia nauli yetu wote2 (mmi na yeye)Kaka una maanisha nini hapa, samahan naomba ufafanuzi
Ahsante chief, nimekuelewa, nimeona ni jambo zuri n am interestedNitamsadia kumepeleka sehemu yenye mbuga nzuri bila gharama za kulipia muda wangu. Yeye atalipia nauli yetu wote2 (mmi na yeye)