Kilimo cha mtama: Uzalishaji na soko

TANZANIA BREWERIES, wanao mpango wa kununua mtama ila unaingia mkataba nao , na wanakupa mbegu yao ambayo inatumika kutengeneza beer/ bia. Unaweza kuwasiliana nao kama uko DAR, na maeneo mengine yeney ofisi zao
 
Kuna shamba kama heka 10, nipo naliandaa, lengo ni kulima alizeti lakini kuna mtu (ye ni mkulima mzoefu kidogo) kanifuata na kunieleza kuhusu hili, kaniambia mbegu wanatoa wao na kununua watanunua wenyewe, hii nimeona kama ni nzuri maana unalima kitu wakati una uhakika wa soko, lakini bado sijashawishika kiivo maana sijajua bei zao ni kiasi gani. Naomba ushauri wako hapa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…