Mkuu ni kweli kabisa TBL huwa wananunua Mtama kwa ajili ya kutengenezea BIA, Ila nijuavyo mimi ni TBL pekee ndo wananunua mtama kwa ajili ya BIA YA EAGLE LAGER na hii bia inatengenezwa na kiwanda cha ARUSHA PEKEE KWA MWANZO ILA KWA SASA SIJUI KAMA INATENGENEZWA NCHI NZIMA MAKE MIMI SIO SHABIKI
kwa SBL sijui kama wana BIA inayo tumia Mtama kama TBL walivyo na EAGLE
NA MWISHO kuna Aina ya Mtama si kwamba wananunua MTAMA wa aina yote, Na wao ndo wanakupatia Mbegu za Kupanda make wanazo Mbegu za huo Mtama
Kuna kipindi nikuwaga Babati niliona wakigawa Mtama kwa wakulima ila ni miaka mingi imepita sijui now day