FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nimeambiwa kilimo cha muhogo na vitunguu ni kilimo chenye tija na faida kubwa sana kulinganisha na mazao mengine, kwani zina soko zuri na la uhakika, kwa anaefahamu juu ya kilimo cha mazao haya anipe mwanga kidogo..