FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Apr 16, 2015 #1 Nimeambiwa kilimo cha muhogo na vitunguu ni kilimo chenye tija na faida kubwa sana kulinganisha na mazao mengine, kwani zina soko zuri na la uhakika, kwa anaefahamu juu ya kilimo cha mazao haya anipe mwanga kidogo..
Nimeambiwa kilimo cha muhogo na vitunguu ni kilimo chenye tija na faida kubwa sana kulinganisha na mazao mengine, kwani zina soko zuri na la uhakika, kwa anaefahamu juu ya kilimo cha mazao haya anipe mwanga kidogo..
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Apr 16, 2015 #2 Umeshawahi kujua kama kuna jukwaa la ujasiriamali?