Kilimo cha mwani

Ailars David

Senior Member
Joined
Jul 6, 2017
Posts
128
Reaction score
36
Mwani ni majani yanayoota kwenye uso wa maji chumvi (baharini)

Mwani kilimo chake si kigumu Kwani mkulima atahitaji tu kujua namna ya kuweka mwani kwenye maji na kisha kuuhudumia

Zao la mwani linasoko kubwa Sana ndani na nje ya nchi kwani mwani hutumika kutengeneza mafuta, sabun, dawa, chocolate, lotion na vipodoz mbal mbali pamoja na ice cream!

Wakulima wa mwani wanachangamoto tu kwenye upande wa bei ya gram za ukaushwaji kwani unapovuna gunia utakausha mwani wako kuondoa kiwango cha maji (water content ) utakapokausha utapata nusu gunia! Halafu umelima kwa muda

Lakini changamoto hii huweza kuiepuka kama ukijikita kwenye uzalishaji wa vitu Na bidhaa za mwani


Kwa sasa TZ ni moja ya nchi kumi bora katika uzalishaji wa zao la mwani
Karibu tulime mwani!
 
Kwa hiyo mkui unamaanisha hiki ni kilimo cha maeneo ya bahari pekee, kwa maana ndiko yanakopatikana maji chumvi
 
Mkuu, ni wapi unalimia?
 
sasa mbona wakulima wake wana hali mbaya ukiwacheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…