Hapa kuna watu wanauza hii huduma mkuu.Wadau naomba kujua yafuatayo katika kilimo cha nyanya mkoani Morogoro
1.mbegu bora kwa Hali ya hewa ya Morogoro na inayozaa sana
2.Msimu mzuri wa kilima nyanya yenye soko zuri
3.Mchanganuo wa gharama ya kuendesha ekari moja kwa umwagiliaji
4.Hasara zinazotokea kwenye kilimo cha nyanya
5.Faida pia
6.Masoko ya nyanya
KARIBU TUBADILISHANE UJUZI....
JEMBE HALIMTUPI MTU
Ahsante,karibu sana kwa mchango wa mawazo.
Soma hapa utapata maelekezo : anzishaproject .comWadau naomba kujua yafuatayo katika kilimo cha nyanya mkoani Morogoro
1.mbegu bora kwa Hali ya hewa ya Morogoro na inayozaa sana
2.Msimu mzuri wa kilima nyanya yenye soko zuri
3.Mchanganuo wa gharama ya kuendesha ekari moja kwa umwagiliaji
4.Hasara zinazotokea kwenye kilimo cha nyanya
5.Faida pia
6.Masoko ya nyanya
KARIBU TUBADILISHANE UJUZI....
JEMBE HALIMTUPI MTU
Ahsante,karibu sana kwa mchango wa mawazo.
Lete gharama ya CBA na na master plan yakeHapa kuna watu wanauza hii huduma mkuu.
1.cost benefit analysis( CBA)
2.master plan ya zao lolote utapata.
Kama uko ready nikuelekeze muhusika.
brain is the beautiful part of the body.