Kilimo cha nyanya na mbogamboga kwa njia ya umwagiliaji

Kilimo cha nyanya na mbogamboga kwa njia ya umwagiliaji

Makini joo

Member
Joined
Mar 28, 2017
Posts
22
Reaction score
40
Wataalamu naomba kuuliza.. Nina ekali 1 na nusu, iko tambalale kabisa, na kuna kisima cha kuchimba na mashine, kina maji mengi sana ya kutosha, na tanki lake lipo juu la lita elfu 10.

Eneo hilo lipo kigamboni mbutu, ardhi yake ina rutuba tuu, maana kilimo cha mvua tuu kwa mazao madogo madogo ya kula nyumbani yana stawi.

Nashawishika kulima kilimo cha nyanya cha kumwagilia, au hata vitunguu.

Je, NI KWELI KILIMO HICHO KINALIPA?.kama ambavyo naona mitandaoni huku na kule?. Naomba ushauri..
 
Kama Kuna maji ya kutosha lima mbogamboga kila baada ya week kadhaa unavuna na kupanda tena.
 
Fanya mbogambifa Kama alivyoshauri MR MLAWA hapo juu. Itakulipa vizuri Sana.
 
kwa maji ya kumwagilia na kukiwa na jua kali, maua mengi hayatabeba matunda.
 
Back
Top Bottom