kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Inauzwaje mkuuKuna garmah ya masika.
Sawa mkuu nitaitafuta,vp hii mbegu ni ndefu au fupi? ili nijiandae mapema na miti ya kuinulia.Panda Eden F1 iko vizuri sana!
Ni ndefu kiasi ila si kama zile za miezi 6, na kama utaipa matunzo vizuri mche mmoja fito 3-5Sawa mkuu nitaitafuta,vp hii mbegu ni ndefu au fupi? ili nijiandae mapema na miti ya kuinulia.
Fito ina mita ngapi?Ni ndefu kiasi ila si kama zile za miezi 6, na kama utaipa matunzo vizuri mche mmoja fito 3-5
kama sikosei eden ni jamii moja na asila f1, eden ina sifa ya kufyonza maji asila ina sifa ya kuvumilia ukame! tafuta nyuzi za "kiimo maarifa" humu uzifwatilie...kachambua sana nyanya na mazao mengine.Sawa mkuu nitaitafuta,vp hii mbegu ni ndefu au fupi? ili nijiandae mapema na miti ya kuinulia.
Aisee ii mbegu iko vizuri? niliikuta dukani nikaipuuziaPanda kibo star F1
Mkuu panda hii mbeguHabari za weekend wanajamvi.
Wakuu naombeni ushauri wa mbegu bora ya nyanya ya kisasa inayostahimili wakati wa masika na bei yake. Naomba kuzijua mbegu zinazozaa vizuri wakati huo na zinazovumilia magonjwa.
Natumaini kuwa nitasaidiwa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
Ahsante sana mkuu na hongera sanaMkuu panda hii mbegu
*MBEGU YA TO 135 F1*
Sifa Kuu
1. Ina matunda Makubwa na Magumu.
2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri
3. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko wa Bacteria (Bacterial Wilt resistance)
4. Inastahimili ungojwa wa virus usababishwao na inzi weupe....pia hujulikana Kama Rasta au Kitaalamu unaitwa Tomato Yellow Leaf Curl Virus-TYLCV
5. Inastahimili ugonjwa wa mnyauko mcheleo....Late Blight.....
Na Bei yake ni Nafuu Sana. Kwa Mkulima gramu 10 ni TZS 60,000. Ekari moja inatakiwa Gram 50.View attachment 1289660View attachment 1289663View attachment 1289665View attachment 1289666
Sent using Jamii Forums mobile app