fantastic dude
Member
- Jul 2, 2023
- 18
- 9
Kati ya nyanya aina ya DHAHABU F1 na tanzanite ni ipi Ina sifa nzuri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu dhahabu inazaa watoto wengi kuliko Tanzanite japo hazipishani sana. shida ya dhahabu chenga ni nyingi ukichuma mara moja tu zinabaki goroli kwa upande wa Tanzanite ipo vzr haina chenga mkuu labda mwisho kabisa.Kati ya nyanya aina ya DHAHABU F1 na tanzanite ni ipi Ina sifa nzuri?
we ni chawa wa epinav? Dhahabu inazaa saana inahitaji maji mengi sana na mbolea ndio mana ni nyanya ya masika na haina chenga, tanzanite nayo sio mbaya ina shida bei sana na mbegu chache 5g unaweza pata mbegu 1000 wakati 5g dhahab unapata 2000 na zaid. Mleta mada unalima sehemu gani?Mkuu dhahabu inazaa watoto wengi kuliko Tanzanite japo hazipishani sana. shida ya dhahabu chenga ni nyingi ukichuma mara moja tu zinabaki goroli kwa upande wa Tanzanite ipo vzr haina chenga mkuu labda mwisho kabisa.
Hivyo kwa upande wangu ningechagua tanzanite na ndo nililima mkuu pamoja na hiyo dhahabu
Ok,Vipi Lakini kuhusu uwezo wa kukaa muda mrefu baada ya mavuno bila kuharibika?Ni ipi ni zaidi?,Namaanisha ni ipi Ina shelf life kubwa?Mkuu dhahabu inazaa watoto wengi kuliko Tanzanite japo hazipishani sana. shida ya dhahabu chenga ni nyingi ukichuma mara moja tu zinabaki goroli kwa upande wa Tanzanite ipo vzr haina chenga mkuu labda mwisho kabisa.
Hivyo kwa upande wangu ningechagua tanzanite na ndo nililima mkuu pamoja na hiyo dhahabu
Tanzanite ipo vzr. ukihitaji ngumu zaidi lima captain f1Ok,Vipi Lakini kuhusu uwezo wa kukaa muda mrefu baada ya mavuno bila kuharibika?Ni ipi ni zaidi?,Namaanisha ni ipi Ina shelf life kubwa?
Tanzanite ipo vzr. ukihitaji ngumu zaidi lima captain f1
Bado hujasema unalima wapi Dakawa, Dodoma?Ok,Asante sana Kwa elimu hii.
Mleta mada jibu swaliMleta mada unalima sehemu gani?
mkuu hapo hamna mkulima anaetaka kulima nyanya, id moja inajiuliza inajijibu kwa id nyingine kusifia mbegu zaoMleta mada jibu swali
Nalima wilayani Mufindi mkoa wa Iringa,Mimi ni mgeni katika kilimo Cha nyanya,nililima Kwa mara ya kwanza mwaka Jana,na nilipanda DHAHABU F1,mavuno hayakiwa mabaya sana Kwa mtizamo wangu,Hivyo nataka kujifunza kuhusu mbegu tofuti Bora zaidi ya DHAHABU ili kuongeza tija, AsanteBado hujasema unalima wapi Dakawa, Dodoma?
Watu kama wewe ni hasara sana. unanihusanisha vipi na mleta mada?mkuu hapo hamna mkulima anaetaka kulima nyanya, id moja inajiuliza inajijibu kwa id nyingine kusifia mbegu zao