Kilimo cha olive

Kilimo cha olive

realpatriot

Senior Member
Joined
May 28, 2009
Posts
116
Reaction score
76
Habari wadau wa jukwaa la Kilimo,.Ufugaji na Uvuvi.

Leo napenda nitoe wazo ama kama limeshawahi kutolewa basi ningependa kueleshwa kuhusu kilimo cha olive.

Nafikiri ni muda sasa umefika kwa tanzania kugeukia kilimo hiki kwa maana soko lake katika dunia limekua maradufu na hasa baada ya kuonekana yana ubora kuliko alizeti ambayo kwa muda sasa yamekua kimbilio kubwa la jamii yote.

Baada ya kusema haya nakaribisha rasmi mjadala huu kwa kuwakaribisha wadau mbalimbali muweze kutoa ushauri kuhusu Mbegu,hali ya hewa,udongo na mengineyo yanayohusu kilimo hiki.

Mwaka 2013 serikali ilitangaza kuwa imechukua mbegu za majaribio na kuzipeleka kwenye kituo cha utafiti wa mazao pale Arusha,nimejaribu kufuatilia matokeo ya utafiti huu bila mafanikio.

Tanzania Looking Into A New Crop: Olives

Tafadhali mwenye taarifa zaidi atujuze khs hili

NAWASILISHA.
 
Kama sijakosea kyela kuna hii miti sana.
 
Back
Top Bottom