Kilimo cha papai

Kilimo cha papai

JOY Mkulima

New Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Habari wana Jamvi, Naomba mnisaidie, matunda ya mipapai yangu yamepungua utamu (sukari) sijui ni kitu gani naomba anyefahamu tatizo tafadhali anijulishe. Ni mbeu ya Malkia F1
 
Habari wana Jamvi, Naomba mnisaidie, matunda ya mipapai yangu yamepungua utamu (sukari) sijui ni kitu gani naomba anyefahamu tatizo tafadhali anijulishe. Ni mbeu ya Malkia F1
Ulinunua mbegu?

Kama sivyo ndo sababu
 
Siku nyingine tuwekee picha ya fully mti mzima tukushauri.ila umeweka Mbolea na unamwagilia?
 
Jaribu kuangalia matunzo ya shamba lako
 
Back
Top Bottom