Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

Umenipa Mwanga, nitawafuatilia na nitakupa mrejesho iwezekanavyo, Asante kwa huu ushauri boss
 
Duh, sawa!
 
Yale ya kijani yakiiva ndani yanakuwa njano, ukubwa wake unaweza kufika Papai na uzito wa 1/4 kilo yana bei nzuri.
Parachichi linakua kubwa kama papai?

Duh tembea uone kwakweli
 
Mimi mwenyewe ninampango wa kupanda miche 200-400. Mwezi wa pili hapa naandaa kitalu.Hizi mbegu zinaenda kitaluni wiki ijayo, mwezi wa pili, shambani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kumbe tayari kuna network yake?
 
Bei mkuu, watu wenyewe tunaishi chini ya dola kwa siku!!!!
 
wakuu kilimo cha parachichi aina ya hass kwa sasa kinachukua umaarufu hasa kwa mikoa ya Mbeya,Njombe,Iringa,Arusha,Songea na kwingineko mwenye kujua masoko yake hasa nje ya nchi na makampuni yanayonunua tujuzane please
Rungwe kuna Mmarekani kawekeza kweli, ananunua yeye mwenyewe toka kwa wakulima.
 
Mbeya kuna mzungu ni mnunuzi, yupo jiran na Rungwe Sec.


Kama ni Mbeya wala usihofu we lima tu, huyu mzungu kalima eneo kubwa kweli
 
Hivi Parachichi zinastawi hapa Dar kweli.
 
Umeharibu kila kitu kuandika huu uzi kwa sababu kuna li mtu likisikia lazima lije kuharibu lenyewe linataka kila mtu awe masikini.Litakuja na misela yake ya kijinga ili liharibu.
Acha lije liongee vitu negative, maana maneno yangekuwaga bunduki yangeshutigi Kama risasi, tukiendaga mbele haturudigi nyuma kama samaki.
 
Parachichi dhababu ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…