Kwani imekuwa korosho.Parachichi inatoa product nyingi sana, isitoshe TZ inalika sana.Kenya wana mkataba na China wa Tani laki moja kila mwaka na hawana mashamba ya kitosheleza oda, watanzania wameamka ktk ulaji wa matunda.Mkuu we endelea kusubiri waajgati wenzio wanapanda maheka na maheka na bado zinauzwa. Mimi binafsi nakusudia kutafuta soko langu dogo hapa hapa bongo na nchi za jirani.Hakuna nchi eti parachicgi ziliwahi kosa soko basi TZ itakuwa yakwanza. Losheni,mafuta jwisi halafu ukose soko kweli.Binafsi sintakuja kukosa soko,mungu kanipa akili ntazitumia watakao subiri mzungu ndio watafeli sioni kabisa dalili ya kufeli.Manchi yate ya jangwani hayna parachichi ,zikitufia utakuwa ni ujinga wetu.