Kilimo Cha parachichi wilayani Rungwe

Kilimo Cha parachichi wilayani Rungwe

mpigalipu

New Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Ni kwa namna gani Hawa Wawekezaji wa kigeni katika zao la parachichi wameweza kuwa shawishi vijana kuingia katika kilimo hicho?
 
Ni kwa namna gani Hawa Wawekezaji wa kigeni katika zao la parachichi wameweza kuwa shawishi vijana kuingia katika kilimo hicho?
Kuna somo kwenye kilimo linaitwa extension. Kuna mbinu za kuwashawishi wakulima kulima zao hata kama ni jipya kwao. Nguvu ya ushawishi kutoka kwa bwanashamba
 
Back
Top Bottom