Mna mashamba yenye ukubwa wa hekali ngapi ninyi kama wahamasishaji wa PDF kwa mfano.Wadau karibuni muwekeze Njombe. Wewe toa pesa tu sisi tutakufanyia kila kitu, ikiwemo kununua hizo parachichi
View attachment 2226565
View attachment 2226566
Mjini mipango mjomba. TOA pesa tu weweMna mashamba yenye ukubwa wa hekali ngapi ninyi kama wahamasishaji wa PDF.
Mnaweza mkakopa benki ya Kilimo badala yabkudunduliza pesa za wakulima wadogo, mkalima mahekali mengi ikawa mfano. Maana faida ni kubwa mno kuja kuomba hela yangu kisha mnifanyie kila kitu halafu mnunue.
I am sorry
Kuna watu wameshikiwa akili ya tathimini nawaona wanavyoingia shambani.Wadau karibuni muwekeze Njombe. Wewe toa pesa tu sisi tutakufanyia kila kitu, ikiwemo kununua hizo parachichi
View attachment 2226565
View attachment 2226566
Asante. Japo watu washapigwa sanaWadau karibuni muwekeze Njombe. Wewe toa pesa tu sisi tutakufanyia kila kitu, ikiwemo kununua hizo parachichi
View attachment 2226565
View attachment 2226566