Wadau naomba mwenyevuzoefu wa kilimo, cha matikiti maji kwa arusha kinafaa sehemu gani na itakua sh ngapi kukodi shamba sehemu yenye maji ya kumwagilia nataka nijaribu heka moja au mbili .pia kujua tikiti znakaa shambani muda gani mpaka mavuno.na nilime kipindi gani ambacho mavuno yafike kipindi ambacho matikiti ni adim sokoni naomba na mwenye kujua bei ya mbegu na aina zake.