Godfrey ulimboka
Member
- Oct 20, 2022
- 11
- 3
Kwa mkoa wa Katavi tikiti hulimwa sehemu gani na vipi kuhusu masoko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unataka uandae mzigo katavi jitahidi uwe na maeneo ya kati au mbadala wa soko katika miji ya karibu, vinginevyo inaweza kuwa story kwa sababu ya usafiri, Geita wameweza kutokana na gharama kidogoo kuwa afadhali ndio maana wanauzia Dodoma na DarKwa mkoa wa Katavi tikiti hulimwa sehemu gani na vip kuhusu masoko?
AsanteFika kwenye masoko ya matunda..ulizia wauza matikiti kuwa hayo matikiti wanayatolea wapi..hakika watakupa muongozo vzri.
Kila jema.
#MaendeleoHayanaChama
Naomba kuelewesha vizuri hapo boc masoko ya kati kwamba tatizo ni usafiri au sehemu ya masoko ndo tatzoKama unataka uandae mzigo katavi jitahidi uwe na maeneo ya kati au mbadala wa soko katika miji ya karibu, vinginevyo inaweza kuwa story kwa sababu ya usafiri, Geita wameweza kutokana na gharama kidogoo kuwa afadhali ndio maana wanauzia Dodoma na Dar