Kilimo cha tikiti maji Katavi

Fika kwenye masoko ya matunda..ulizia wauza matikiti kuwa hayo matikiti wanayatolea wapi..hakika watakupa muongozo vzri.

Kila jema.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa mkoa wa Katavi tikiti hulimwa sehemu gani na vip kuhusu masoko?
Kama unataka uandae mzigo katavi jitahidi uwe na maeneo ya kati au mbadala wa soko katika miji ya karibu, vinginevyo inaweza kuwa story kwa sababu ya usafiri, Geita wameweza kutokana na gharama kidogoo kuwa afadhali ndio maana wanauzia Dodoma na Dar
 
Naomba kuelewesha vizuri hapo boc masoko ya kati kwamba tatizo ni usafiri au sehemu ya masoko ndo tatzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…