Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Salaam JF.
Matikiti maji aina ya sugar baby ambayo yanajulikana kwa ubora na utamu pamoja na biashara inachukua siku 60 kukua na ukiongeza na siku 3-5 za kukaa ardhini .Zao hili unaweza kulima Mara 4 kwa mwaka.Mfano,ukiwa na hekari 5,kula hekari moja inaweza kuingiza Tsh 1,000,000/= hadi 3,000,000/=.
Mambo Muhimu;
√Nafasi ya 2mm kuachwa kutoka mmea mmoja na mwingine.
√Mbegu 2 kula shimo(matundu 2-3).
√Kila shimo unaweza kupata matunda 4-6(wastani 5).
√Kwa ukubwa wa hekari 5 unaweza kuwa na ukubwa wa mashimo 1,000-1,500.
Idadi ya matunda(mashimo×matunda kwa shimo Mara hekari=1,000×5×5=25,000).
Matokeo;
Mapato,wastani Tsh 500/=.
Kwa hekari 5(25,000×500=12,500,000/=)
Mapato kwa Mwaka(2,500,000×4=50,000,000/=).
Gharam za Uendeshaji(25,000,000/=).
Faida kwa ujumla(25,000,000/=).
Mbinu za kuchagua tikitimaji lilo bora (outside structure considerations).