nangongocho Member Joined Jun 7, 2020 Posts 25 Reaction score 13 Jun 21, 2020 #21 Nachingwea mnada wa 2 bei 1700
Mkweli77 JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,459 Reaction score 1,135 Jun 21, 2020 #22 nangongocho said: nachngwea mnada wa 2 bei 1700 Click to expand... Vipi wamekubali kuuza? Nilisikia liwale bei wameikataa...
nangongocho said: nachngwea mnada wa 2 bei 1700 Click to expand... Vipi wamekubali kuuza? Nilisikia liwale bei wameikataa...
nangongocho Member Joined Jun 7, 2020 Posts 25 Reaction score 13 Jun 21, 2020 #23 Mkweli77 said: Vipi wamekubali kuuza? Nilisikia liwale bei wameikataa... Click to expand... Wamegoma ila yatakua kama Kilwa waligomea 1700 matokeo wakakubal tu? MKULMA HANA HAKI
Mkweli77 said: Vipi wamekubali kuuza? Nilisikia liwale bei wameikataa... Click to expand... Wamegoma ila yatakua kama Kilwa waligomea 1700 matokeo wakakubal tu? MKULMA HANA HAKI
mbati nenga JF-Expert Member Joined Feb 18, 2017 Posts 267 Reaction score 344 Jun 28, 2020 #24 Mwaka ushakua sio wa kheri kwa wakulima wa ufuta.. Tujipange kipind kijacho
G Graduate since 2017 Member Joined Jun 15, 2020 Posts 24 Reaction score 90 Jun 29, 2020 #25 Songea bei gani sasa hivi? Na mnada unaofata ni lini?