Umechunguza kwanza bei yake sokoni??Wandugu, habari zenu. Ni hivi mimi nataka kuwekeza kwenye lilimo cha ufuta kwenye maeneo ya rufiji. Naomba mwenye ujuzi wa kilimo hicho cha ufuta anipe ushauri juu ya hili.
Bei ikoje mwaka huu..?Huu uzi inabid ufufuke