Mosquitor
New Member
- Aug 5, 2013
- 2
- 1
Habari Wanajamvi,
Napenda kujuzwa kuhusu kilimo cha Ufuta kwa ujumla. Ni miezi ipi ya kuandaa shamba, ni mwezi gani wa kupanda, na mazao yanachukua muda gani Shambani, na ni mwezi gani hasa huwa wanavuna.
Pia nijuzwe ni kilimo cha msimu tu au unaweza kufanya kilimo cha umwagiliaji?.
Makadilio za gharama za uzalishaji kwa heka hasa kwa Lindi na mtwara. Na ni aina gani ya mbegu inayostawi vizuri maeneo hayo.
Pia utaratibu wa kuuza mazao baada ya kuvuna ukoje?
Asante