makolola JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 765 Reaction score 289 Jul 3, 2015 #1 Habari, Nahitaji kuanza kilimo cha uwagiliaji kwa maana ya bamia,pilipili na nyanya chungu. Naomba mwenye uzoefu wa kilimo huko na urahisi wa kupata maeneo anijulishe.
Habari, Nahitaji kuanza kilimo cha uwagiliaji kwa maana ya bamia,pilipili na nyanya chungu. Naomba mwenye uzoefu wa kilimo huko na urahisi wa kupata maeneo anijulishe.
E EVIGT JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 526 Reaction score 415 Jul 4, 2015 #2 makolola said: Habari, Nahitaji kuanza kilimo cha uwagiliaji kwa maana ya bamia,pilipili na nyanya chungu. Naomba mwenye uzoefu wa kilimo huko na urahisi wa kupata maeneo anijulishe. Click to expand... Mkuu unatafuta eneo LA kukodi au kununua?
makolola said: Habari, Nahitaji kuanza kilimo cha uwagiliaji kwa maana ya bamia,pilipili na nyanya chungu. Naomba mwenye uzoefu wa kilimo huko na urahisi wa kupata maeneo anijulishe. Click to expand... Mkuu unatafuta eneo LA kukodi au kununua?
M mimisiowewe JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 315 Reaction score 309 Jul 4, 2015 #3 Mkuu Asante unaanisha Kijiji cha Madenge? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Asante JF-Expert Member Joined Dec 18, 2009 Posts 2,086 Reaction score 1,081 Jul 4, 2015 #4 mimisiowewe said: Mkuu Asante unaanisha Kijiji cha Madenge? Click to expand... Kwa mawasiliano piga namba hizi. za dalali 0713-770 738, 0788,50 75 71 za mwenyewe shamba 0674-87 89 87
mimisiowewe said: Mkuu Asante unaanisha Kijiji cha Madenge? Click to expand... Kwa mawasiliano piga namba hizi. za dalali 0713-770 738, 0788,50 75 71 za mwenyewe shamba 0674-87 89 87
makolola JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 765 Reaction score 289 Jul 4, 2015 Thread starter #5 evigt said: Mkuu unatafuta eneo LA kukodi au kununua? Click to expand... kukodi nataka kuanza na nusu au heka moja
evigt said: Mkuu unatafuta eneo LA kukodi au kununua? Click to expand... kukodi nataka kuanza na nusu au heka moja
E EVIGT JF-Expert Member Joined Jul 9, 2014 Posts 526 Reaction score 415 Jul 7, 2015 #6 makolola said: kukodi nataka kuanza na nusu au heka moja Click to expand... La kukodi ni inshu ila nina rafiki yangu analima sn vitunguu anayafahamu yanayouzwa kwa laki mbili kwa eka moja kama utakuwa interested nitaku pm no yake.
makolola said: kukodi nataka kuanza na nusu au heka moja Click to expand... La kukodi ni inshu ila nina rafiki yangu analima sn vitunguu anayafahamu yanayouzwa kwa laki mbili kwa eka moja kama utakuwa interested nitaku pm no yake.
Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 828 Jun 19, 2016 #7 Natafuta . Shamba na mimi hiko ruvu
munyambugha. Senior Member Joined Dec 25, 2015 Posts 102 Reaction score 46 Jun 20, 2016 #8 Wapi huko wewe utapata shamba heka kwa laki mbili?!
munyambugha. Senior Member Joined Dec 25, 2015 Posts 102 Reaction score 46 Jun 20, 2016 #9 Muwe makini, ruvu nako kuna matapeli wengi sana siku hizi
Jamiix JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 940 Reaction score 666 May 9, 2017 #10 Mrejesho tafadhali mleta uzi