lyonard
Member
- Mar 12, 2019
- 8
- 1
Wakuu habari za muda huu, natumai mko salama,
Nina ombi hili;
... ninahitaji pump ya maji ya solar kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.
Shamba lipo ekari tatu, na kisima kipo. Kwa sasa nahitaji tu hiyo pump ili nifanye kilimo cha umwagiliaji kwa mazao ya mboga mboga, kama nyanya, vitunguu swaumu, ngogwe, biringanya n.k
Wataalamu wa kilimo wapo ambao wanatoa ushauri wa kitaalamu na matumizi ya teknolojia ya kilimo kwa wakulima. Hasa kampuni ya Sevia kwa usirikiano na makampuni ya mbegu ya Rijk Zwaan na East and west.
Kama kuna mtu hapa anaweza kunisaidia kununua pump hiyo ambayo kampuni ya #Proactive solar pumps wanauza kwa gharama ya milioni 1.5, tushirikiane kwenye kilimo kwa mwaka mmoja.
Shamba lipo Babati vijiji.