powercert_Tz
Member
- Jul 19, 2022
- 45
- 44
Mkoa wa Morogoro umepatiwa bilioni 16 kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya umwagiliaji na ya kuhifadhi mazao. Hii itasaidia kukuza shughuli za kilimo mkoani humo na kuongeza uhakika wa upatikanaji wa chakula. Lengo la Serikali ni kuhakikisha upatikanaji wa chakula cha kutosha katika kipindi chote cha mwaka.