CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Tanzania uyoga unao limwa sana ni Oyster huu ni rahisi sana kuulima na unaweza limwa mazingira mengi kwenye baridi na kwenye joto. pia bei yake sokoni sio kivile sana kwa sababu ya wingi na pia uhitaji wake.
Button ni aina nyingine ya Uyoga, hii inapendwa sana na majority ya wala uyoga, ni aina ya uyoga maarufu sana. Shida inakuja kwenye uzalishaji wake, ni complicated sana na ndio sababu watu wanaukwepa ingawa bei yake ni karibia mara tatu ya bei ya Oyster sokoni.Hakuna mzalishaji wa Oyster nchini anatamani kuzalisha Button.
Button inahitaji mazingira ya baridi pekee maana yake watu wa ukanda wa joto hawawezi zalisha button au watahitaji mtaji mkubwa sana kuweka mitambo ya cooling ndani ya banda. Ndio maana sasa maeneo kama Iringa, Njombe, Mbeya,Arusha ni ukanda mzuri wa kuzalishia Button.
Button pia inahitaji aina fulani ya malighafi tu mfano, Wheat straw, wakati Oyster unaweza tumia malighafi kama majani ya maharagwe, mpunga, au magunzi ya mahindi.
Button inapendwa sana na walaji wa uyoga na ndio sababu huku nchini sana inakuwa imported kutoka Kenya na kuuzwa bei ya juu sana gram 250 sh hadi 12,000/
Kama mazingira yako yanaruhusu hasa uko ukanda usio kuwa na joto kari na unaweza pata mabua ya ngani yaani wheat straw basi unaweza komaaa kuzalisha Button.