Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
“BADALA ya kukaa nyumbani bila kazi tukisubiri waume zetu wahangaike na kutuletea, sasa tunaweza kujiajiri wenyewe kupitia kilimo cha uyoga,” ndivyo anavyoanza kueleza Sophia Chove, mwenyekiti wa kikundi cha ‘Tunza Women Group’ katika Mtaa wa Kilungule - Bunju, jijini Dar es Salaam.
Sophia anaeleza kwamba, ingawa hawajaanza kilimo hicho muda mrefu, lakini kuna dalili njema kwamba kitawalipa kwani tayari wateja wengi wameanza kuwasumbua wakitaka huduma pindi watakapoanza kuvuna zao hilo.
Soma zaidi hapa=> Kilimo cha Uyoga chatoa ajira kwa akinamama Boko, Bunju | Fikra Pevu